Luka 6:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baadhi ya Mafarisayo wakawauliza, “Mbona mnavunja sheria kwa kuvuna ngano siku ya sabato?”