Luka 5:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakawaashiria wavuvi wa ile mashua nyingine waje kuwasaidia. Mashua zote mbili zikajaa samaki hata karibu kuzama.