Luka 5:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mara yule mtu aliyekuwa amepooza akasimama mbele yao wote, akachukua kitanda chake akaenda zake nyumbani, huku akimtukuza Mungu.