Luka 5:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini sifa za Yesu zikazidi sana kuenea. Watu wakamimi nika kwa wingi kutoka kila upande kuja kumsikiliza na kuponywa maradhi yao.