Luka 5:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Ndio, nataka upone; takasika!” Wakati huo huo, ukoma wote ukamtoka .