Luka 4:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi Yesu akasimama kando ya kitanda chake akaiamuru ile homa imtoke. Homa ikamtoka yule mama. Akaamka mara moja akaanza kuwahudumia.