Luka 4:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakasimama wote wakamtoa nje ya mji hadi kwe nye kilele cha mlima ambapo mji huo ulijengwa ili wamtupe chini kwenye mteremko mkali.