Luka 4:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha Yesu akarudi Galilaya, akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu. Habari zake zikaenea katika sehemu zote za wilaya ile.