Luka 20:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini wale wakulima walipomwona, wakashauriana, ‘Huyu ndiye mrithi, hebu tumwue ili sisi turithi hili shamba.’