Luka 2:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Usiku ule walikuwako wachungaji wakilinda kondoo zao nje ya mji.