Luka 2:43

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sikukuu ilipokwisha walianza safari ya kurudi nyumbani. Yesu akabaki Yerusalemu pasipo wazazi wake kujua.