Luka 18:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nawaambia hakika, ye yote ambaye hataupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”