Luka 17:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Na walipokuwa wakienda, wakapona ukoma wao.