Luka 16:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nami nawaambieni, tumieni mali ya dunia hii kujipa tia marafiki, ili itakapokwisha mkaribishwe katika makao ya milele.