Luka 16:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alipokuwa kuzimuni ambapo alikuwa akiteseka, alita zama juu, akamwona Ibrahimu kwa mbali na Lazaro karibu yake.