Luka 16:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lazaro alikuwa akitamani kula makombo yaliyodondoka mezani kwa tajiri. Hata mbwa walikuwa wakiramba vidonda vyake.