Luka 15:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akamwambia, ‘Mdogo wako amekuja, na baba yako amemchinja yule ndama aliyenona kwa sababu amempata mwanawe akiwa mzima.’