Luka 15:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya kutumia kila kitu alichokuwa nacho, kukawa na njaa kali katika nchi ile yote naye akawa hana cho chote.