Luka 15:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Basi huyo baba akagawanya mali yake kati yao.