Luka 14:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama hawezi, basi itambidi apeleke wajumbe wakati yule mfalme mwingine bado yuko mbali na kuomba masharti ya amani.