Luka 14:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Ni nani kati yenu ambaye kama anataka kujenga, hatakaa kwanza na kufanya makisio ya gharama aone kama ana fedha za kutosha kukamilisha ujenzi?