Luka 14:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakati wa sherehe ulipofika, akamtuma mtumishi wake akawaam bie walioalikwa, ‘Karibuni, kila kitu ni tayari sasa.’