Luka 13:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu watakuja kutoka mashariki na magharibi na kaskazini na kusini na wataketi kwenye sehemu walizoandaliwa kar amuni katika Ufalme wa Mungu.