Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Luka 13:1
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakati huo, watu fulani walimwambia Yesu habari za Wagali laya ambao Pilato aliwaua na damu yao akaichanganya na damu ya sadaka waliyokuwa wakimtolea Mungu.
Read full chapter →
Compare all translations →