3 Yohana 1:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nilifurahi sana walipokuja ndugu kadhaa wakashuhudia jinsi ulivyo mwaminifu katika kweli na jinsi unavyoendelea kuishi katika kweli.