2 Yohana 1:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu ye yote akija kwenu bila kuwaletea mafundisho haya, msimkaribishe nyumbani kwenu, wala msimsalimu.