2 Wakorintho 9:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Atawa fanya kuwa matajiri kwa kila hali ili mpate kuwa wakarimu kila wakati na kwa mchango wenu wa hiari kupitia kwetu, wengi wapate kumshukuru Mungu.