2 Wakorintho 8:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ushauri wangu kuhusu jambo hili ni huu. Ni vyema mkamilishe sasa jambo ambalo mlinia na mkaanza kulifanya tangu mwaka jana