2 Wakorintho 7:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninayo imani kubwa kwenu; ninawaonea fahari kubwa. Nimefarijika sana. Pamoja na taabu zetu zote, furaha yangu haina mfano.