2 Wakorintho 7:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Upendo wake kwenu unaongezeka sana anapokumbuka jinsi mlivyokuwa watii na jinsi mlivyompokea kwa hofu na kutetemeka.