2 Wakorintho 5:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo wakati wote tuna ujasiri mkuu. Tunajua kwamba wakati tukiwa katika mwili huu, tuko mbali na nyumbani kwa Bwana.