Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
2 Wakorintho 5:1
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana twajua kwamba kama hema hii tunamoishi tukiwa ulimwenguni itaharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu, nyumba ya milele mbinguni, ambayo haikujengwa kwa mikono ya wanadamu.
Read full chapter →
Compare all translations →