2 Wakorintho 4:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Haya yote ni kwa ajili yenu, ili kwa kadiri neema ya Mungu inavyowafi kia watu wengi zaidi, wote watoe shukrani kwa utukufu wa Mungu.