2 Wakorintho 4:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana sisi tunaoishi, maisha yetu yako katika hatari ya kifo wakati wote kwa ajili ya Yesu ili uhai wake uweze kuonekana katika miili yetu ya mauti.