2 Wakorintho 3:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ni yeye ali yetuwezesha sisi kuwa wahudumu wa agano jipya, ambalo limefanywa, si kwa maandishi, bali kwa Roho. Kwa maana maandishi huleta kifo, lakini Roho huleta Uzima.

Utukufu Wa Agano Jipya