2 Wakorintho 3:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sisi si kama Musa, ambaye alifunika uso wake kwa kitambaa ili Waisraeli wasione ule mng’ao ulivyokuwa ukififia na kutoweka.