2 Wakorintho 3:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je mnadhani tunaanza kujisifu tena? Au tunahitaji kupata barua za utambulisho kwenu au kutoka kwenu, kama watu wengine wafanyavyo?