2 Wakorintho 2:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa Mungu sisi ni kama harufu nzuri ya manukato ya Kristo ambayo inatapakaa mion goni mwa wale wanaookolewa na wale wanaopotea.