2 Wakorintho 12:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na ili nisijione bora kuliko nilivyo, kutokana na mafunuo haya makuu, nilipewa mwiba katika mwili wangu, mtumishi wa she tani, ili anitese.