2 Wakorintho 12:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa niaba ya mtu huyu nitajisifu, lakini kwa ajili yangu mwenyewe sitajisifu isipokuwa kuhusu udhaifu wangu.