Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
2 Wakorintho 12:19
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Pengine mnafikiri wakati wote kwamba sisi tunajaribu kujitetea mbele yenu. Sisi tunajitetea mbele ya Mungu katika Kristo, na yote haya ni kwa nia ya kuwajenga ninyi, wapendwa wetu.
Read full chapter →
Compare all translations →