2 Wakorintho 11:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, nilitenda dhambi kwa kujishusha mbele yenu na kuwainua ninyi, kwa kuwa niliwahubiria Injili ya Mungu pasipo gharama yo yote kwa upande wenu?