2 Wakorintho 11:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nimechapwa kwa chuma mara tatu. Nimepigwa mawe mara moja. Mara tatu nimevunjikiwa na meli. Nimeelea baharini usiku kucha na mchana kutwa.