2 Wakorintho 11:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tena mnavumilia hata kama mtu anawafanya watumwa au anawany onya na kuwadanganya au anajigamba mbele yenu au anawapiga makofi usoni.