2 Wakorintho 11:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nawaonea wivu wa kimungu kwa kuwa mimi niliwaposea Kristo, ili niwatoe kama mwanamwali anavy otolewa kwa mume mmoja akiwa hana dosari.