2 Wakorintho 11:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninayosema sasa, kwa majivuno, nasema kama mjinga na wala si kwa mamlaka ya Bwana.