2 Wakorintho 11:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na kama ukweli wa Kristo ulivyo ndani yangu, hakuna mtu ye yote katika Akaya nzima atakayenizuia kujivunia jambo hili.