2 Wakorintho 10:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tunaharibu hoja na mabishano yaliyo kinyume cha kumjua Mungu. Tunateka mawazo yote na kuyafanya yamtii Kristo,