2 Wakorintho 10:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana sio mtu anayejisifu ambaye anapata kibali, bali ni mtu ambaye Bwana anamsifu.