2 Wakorintho 1:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi pia mtusaidie kwa maombi ili wengi wamshukuru Mungu kwa niaba yetu kwa ajili ya baraka tulizopokea kama majibu ya maombi ya wengi.

Paulo Abadili Mipango Yake